Wosia (Will) ni tamko la kisheria ambalo mtu hutoa akiwa hai, akieleza wazi namna anavyotaka mali na maslahi yake yashughulikiwe baada ya kifo chake. Ni sauti ya mtu inayoendelea kusikika hata baada ya kuondoka duniani njia ya kuhakikisha kwamba matakwa yake, na si mtu mwingine, ndiyo yanayoongoza mgawanyo wa alichokijenga maishani mwake.
📜 WOSIA NI NINI KISHERIA TANZANIA?
Je, unajua tofauti kati ya "kuandika wosia" na "mali kuwafikia warithi"? 🤔
Wosia si cheti cha kugawa mali moja kwa moja — ni tamko la matakwa yako ambalo huanza kufanya kazi TU baada ya kifo, na estate lazima ipitie mchakato wa Probate kabla ya mgawanyo wowote.
✅ Ukiwa hai — bado unamiliki mali zako, waweza kubadilisha wosia wakati wowote
✅ Ukifariki — executor anaomba Grant of Probate mahakamani
✅ Madeni yanalipwa kwanza — ndipo warithi wanapata sehemu zao
Soma mwongozo kamili (Wosia — hatua 7 kutoka mwanzo hadi mwisho)